Up next

Wizara ya afya haina uwezo wa kifedha wa kuwalipa madaktari watarajali

21/03/24
K24 TV
In Africa / Kenya

Wizara ya afya haina uwezo wa kifedha wa kuwalipa madaktari watarajali kwa viwango vya sasa vya mshahara. Tamko hilo limetolewa na wizara ya leba iliyounga mkono pendekezo la kupunguzwa kwa mishahara hiyo. Wakati madaktari watarajali wakitarajiwa kuanza kazi katika vituo mbalimbali vya afya katika muda wa siku 11 zijazo, muungano wa madaktari KMPDU unasisitiza kwamba pendekezo hilo ni la ukandamizaji kwa kundi hilo.mwanahabari ben kirira na maelezo zaidi.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next