Hisia mseto kuhusu matumizi ya mifuko ya plastiki
0
0
23/04/24
Marufuku iliyowekwa na mamlaka ya usimamizi wa mazingira nchini NEMA dhidi ya matumizi ya mifuko ya plastiki katika ukusanyaji taka inazidi kuibua hisia mseto miongoni mwa wananchi. Hivi punde , baadhi ya wanamazingira na wanasiasa wamesema huenda mpango huo ukawagharimu pakubwa wakenya kutokana na ukosefu wa mipangilio ya kufanikisha mbinu mbadala zinazopendekezwa na NEMA
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par