MBELE YA RAIS SAMIA, WAZIRI NAPE ALIVYOFICHUA MAMBO MAWILI KUHUSU TANZANIA NA MITANDAO AFRIKA
0
0
04/04/24
En
África
Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, akifichua siri kuhusiana na Tanzania na mitandao ambapo amesema kuwa Tanzania ni ya pili kwa usalama barani afrika, Zaidi, amesema ni nchi ya wastaarabu.
Mostrar más
0 Comentarios
sort Ordenar por