Susunod

Serikali haina pesa ya kushughulikia matakwa ya madaktari

03/04/24
K24 TV
Sa Africa

Kina mama wajawazito na wale wanaohitaji matibabu ya dharura ni miongoni mwa wanaoathirika zaidi na mgomo wa madaktari ambao sasa umedumu kwa siku 21. licha ya mahakama ya leba kuwashurutisha madaktari kusitisha mgomo ili kutoa fursa kwa mazungumzo, wahudumu hao wa afya wameapa kuendelea na mgomo huo hadi matakwa yao yaangaziwe.

Magpakita ng higit pa

 0 Mga komento sort   Pagbukud-bukurin Ayon


Susunod