Sljedeći

Ripoti ya CAG Yabaini Magonjwa ya Akili Hayapimwi Ipasavyo Tanzania, yawasilishwa kwa Rais Samia...

28/03/24
CLOUDSMEDIA
U Afrika

Ripoti ya CAG ambayo amekabidhiwa Rais wa JAMHURI YA muungano wa Watanzania Samia Suluhu Hassan Machi 28/3/2024, pamoja na kubainishwa kwa mambo kadha wa kadha moja wapo ni hili lililoshika kasi nchini magonjwa ya afya ya akili. Ambapo kwa mujibu wa Ripoti magomjwa hayo hayapimwi ipasavyo, zaidi, ameshauri namna ya kukabiliana na jambo hilo.

Prikaži više

 0 Komentari sort   Poredaj po


Sljedeći