Tiếp theo

Serikali yaanzisha mipango itakayoweka miundo misingi ya kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kupikia

25/03/24
K24 TV
Trong Châu phi

Serikali imeanzisha mipango itakayoweka miundo misingi bora ya kuongeza uzalishaji wa mafuta ya kupikia nchini. Mpaka sasa ekari 200,000 zimetengwa kwa ajili ya upanzi wa mmea wa alizeti ili kupunguza gharama ya uagizaji wa mafuta kutoka nchi za nje na kufanikisha ajenda kuu ya lishe bora na utoshelevu wa chakula nchini. Wizara ya kilimo imeahidi kushirikiana na serikali za kaunti kuanzisha kampuni za kutengeneza mafuta mashinani

Cho xem nhiều hơn

 0 Bình luận sort   Sắp xếp theo


Tiếp theo