下一个

Sekta ya afya taabani

18/04/24
K24 TV
非洲

Huduma za afya katika hospitali za umma zilizoathirika sasa zitarejea kwa kiasi fulani endapo maagizo ya mahakama yatatekelezwa. Mahakama ya uajiri na mahusiano ya leba imesimamisha notisi ya mgomo wa madaktari ya machi 6, 2024, na kuagiza baadhi ya madaktari warejee hospitali huku mazungumzo yakianza.

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个